Nia ambazo Papa na Maaskofu wa Italia wanazikabidhi kwa Utume wa Sala zinaeleza mahangaiko ya Baba Mtakatifu na matatizo ya Kanisa la leo.
Kwa sababu hii ni lazima tuzieneze, tuzisome na kuzifanya kuwa lengo la maombi yetu.
Umoja wa Wachamungu pia una nia zake za kila mwezi ambazo wanachama huelekeza maombi na nia zao.