10 Machi 2014
Wewe, ee Mtakatifu Yosefu, kweli ni kielelezo cha utakatifu, si tu kwa ajili ya utume ambao Mungu amekukabidhi, bali zaidi ya yote, kwa ukaribu uliopatikana na Yesu aliojifunza kwako ili kuonja ladha ya maisha yetu ya duniani ulijifunza kutoka kwake kuwa kioo cha mahitaji ya kimungu yaliyopo katika maisha yako. Mtakatifu, kwa kweli, ni yule anayejiruhusu kuwekezwa utakatifu wa Kristo Yesu.